Ningekusaidia ila ninapata wasiwasi sna kwa mazingira niliopo kwani %kubwa vijana waliopo wanakula mboga za majani mda mwingi.kutokana na mazingira ya kazi.usije ukanibebea bango dogo amebadilika.ofcoz mmi mwenyewe nimekuelewa jinsi ulivyo elezea nikajikuta automatically nimevaa Viatu vyako namna ya kuikomboa familia kiuchumi ukizingatia wewe ndo mkubwa.hapo nikajikuta miaka ya nyuma niko peke yangu nabeba beg naenda kutafuta maisha nilikuta vijana wadogo wameharibika sna kifikra hadi nikawa najiuliza ndo hivi,ila kujitambua ni kitu kizuri sna hadi leo huwa nikikutana nao ninakumbuka mbali sna alafu wamesha kuwa konkodi ata ukikutana nao utasikia fadha zamisha jua kwa leo.unawapa chochote wanafurahi ila mboga zamajani wanazijari sna huwa naumia sna ila ndo maisha.sasa Viatu vyako nimevivaa nikavuta picha utakapo mtaftia dogo akakuana na makundi alafu akawa hana ufahamu anachofanya hapo ndo shida.ombi langu kama unaweza kupata mtaji kidogo embu mwambie afanye chochote kwa kuanzia japo amani utakuwa nayo.japo kila sehemu pamehalibika ila kuna sehemu na sehemu.siyo kama,machimboni,kwa wavuvi,nk
Sent from my itel it1408 using
JamiiForums mobile app