Natafuta kazi

Natafuta kazi

Msumkesala

New Member
Joined
Jan 7, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Nina taaluma na experience ya miaka mitatu katika Arts and design. Naweza kufanya Graphics design, Motion graphics, illustrations for books and nfts.

Pia naweza kushoot na kuedit picha na videos kwaajili ya matukio, makala na matangazo kati ya vingi ninavyoweza kuvifanya kwa ubora.

Elimu yangu ni B.A in Art and Design ya chuo kikuu Cha Dar es Salaam.

Simu 0654288418.
 
Back
Top Bottom