NATAFUTA KAZI

NATAFUTA KAZI

MadGenius

New Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
4
Reaction score
8
Habari za jioni wana jukwaa, poleni na majukumu ya kazi mimi elimu yangu ni form 6(PCB) nlifanikiwa kwenda chuo ila nilidisco kuanzia hapo napambana shughuli za hapa na pale nna uzoefu na computers na nafanya data analysis kupitia excel sijafanikiwa kupata kazi ni vibarua tu vinavyonisukuma kwenye riziki ya kila siku.

Kwa sasa sina chaguo, naweza kufundisha computer shule au hata binafsi na tuition kwa ujumla na chochote kile cha darasani, naandika projects chuo, kazi za ulinzi nafanya n.k

Kama kuna fursa yoyote naomba msaada tafadhali yangu ni hayo tu!
 
nichek pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom