Natafuta kazi

Maji Chai

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2018
Posts
271
Reaction score
369
Ndugu zangu nipo dodoma jana nilijaribu kuomba msaada wa shillingi 15000 ila sijapata kwa yeyote aliyepo dodoma anaweza kunipa kazi nipo tayari.Asante
 
Habari,
Mimi ni kijana (jinsia kiume) mkazi wa Dodoma kwa yeyote mwenye kazi kijana nipo hapa tayari kufanya kazi yoyote ya halali.
 
Ndugu zangu nipo dodoma jana nilijaribu kuomba msaada wa shillingi 15000 ila sijapata kwa yeyote aliyepo dodoma anaweza kunipa kazi nipo tayari.Asante
I guess umefata cheti kwa kuungaunga umepungukiwa nauri na pesa ya kujikimu huna.
 
Mdogo wangu hujaweka hata namba ya simu mnafeli sana hapo
 
Mdogo wangu hujaweka hata namba ya simu mnafeli sana hapo
Dodoma Tu
Aseme Yupo Wapi Eneo
Makole, Mipango, Ndachi, Chang'ombe, Nkuhungu, Airport, Mkonze, Ntyuka, Iyumbu
Area A,D,C,
Kisasa, Ipagala, Swaswa, Veyula, Msalato
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…