Natafuta kazi

DLuga

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
14
Reaction score
28
Habarini WAna Jf.

Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting)

Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe

Kwa mwenye kusikia nafasi kokote pale yoyote ile muhimu pesa kidogo ipatikane tuchekiane,

Hata kama itahitajika pesa kidogo kufanikisha zoezi nipo tayari maana nimekaa sana nyumbani,
Mawasiliano - 0623692494
 
Nipe mchanganuo wa kuanzisha biashara ya betting,mtaji ni kiasi gani?gharama za kodi zikoje?Gharama za uendeshaji zikoje?faida yake ikoje kwa mwezi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…