kyaruzihappy
New Member
- Jun 17, 2020
- 2
- 0
Habari zenu, poleni na majukumu
Naitwa Happy umri wangu miaka 22, niko Mwanza. Fani yangu ni utunzaji kumbukumbu.
Natafuta kazi ili niwez kujikimu kimaisha. Yaweza kuwa stationary, supermarket, duka, au NGOs.
Niko tayari kwa kuwa naweza fanya kazi kwa ujuzi mkubwa na pia najituma.
Kwa mawasiliano zaidi: 0629982752