Natafuta kazi

Natafuta kazi

emmy mlyuka

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
20
Reaction score
22
Naitwa EMMY WILLY nna miaka 22 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery na pia supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima hvyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yyte ht customer care au supermaket kaz yyte yenye kuniingizia kipato kizuri ASANTENI
 
sawa wenye kazi wanakuja, ila eleza mengine kama unafuga chura nk maana watauliza tu.
 
Naitwa EMMY WILLY nna miaka 22 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery na pia supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima hvyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yyte ht customer care au supermaket kaz yyte yenye kuniingizia kipato kizuri ASANTENI
Unaweza kazi ya sales and marketing?
 
Haha hizi kazi nizamoto aseee unaeza ukawa ata na masters ya hii kitu lakini ukasindwa kufamikiwa, sometimes huwa naaminigi hii kazi ni bahati tu na sio professional....
Unaweza kazi ya sales and marketing?
 
Nina shida binafsi na wewe emmy tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom