Natafuta kazi.

Natafuta kazi.

AndrewThegent

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
20
Reaction score
6
Mimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. Naombeni msaada wenu wanajukwaa
 
Mimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. 0689870819 Naombeni msaada wenu wanajukwaa
God help you bro
 
Pole Sana mkuu ila Kiukweli najua una hali gani ,Muombe Mungu utayasahau tu ni mapito ama unapitia katika moto kama dhahabu inavyopitia katika hali iyo
 
Mimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. 0689870819 Naombeni msaada wenu wanajukwaa
Kaka njoo PM
 
majibu ya kijeshi haya
Hapana ni mtazamo tu. Nisingependa kufanya kazi yoyote inayohusiana na maswala ya ulinzi na usalama. Nishajitolea sana huko nilipotoka na nimefanya hizi kazi bila mafanikio ya kuajiriwa nadhani i will pass with this one pia.
 
Back
Top Bottom