Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Laylabrian

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
18
Reaction score
7
Habari mimi ni mschana wa miaka25 naishi dar nilliishia kidato cha nne baadae nikasoma tour guiding natafuta kazi dar iwe ni ya duka au supermarket Niko tayari
 
Uko Dar sehemu gani? Unaweza kuuza chips?
 
Habari mimi ni mschana wa miaka25 naishi dar nilliishia kidato cha nne baadae nikasoma tour guiding natafuta kazi dar iwe ni ya duka au supermarket Niko tayari
miaka 25 hujaolewa unatauta kazi?Kaolewe wewe muda unaenda
 
Mtoto wa kike hakosagi kazi.... Mnashndwaga tu kufuata njia na kanuni sahihi za utafutaji kazi kwa mtoto wa kike.
 
Kanuni sahihi ni zipi???
1. Jitengeneze uwe na ushawishi kwa kila nyanja.

2. Jitengeneze uwe friend with benefit kwa rafiki zako unaohisi wanaweza wakawa na msaada kwako.

3. Jenga mazoea ya kutopenda saana kupokea kuliko kutoa.

4. Use nature kutengeneza man made phenomena.

5. Jitambue chanzo chako ni ubavu wa nani... Na mwenye ubavu unamfaidisha vipi.

6. Kuwa smart, social, down to earth and charming.

7. Kuwa mlipaji mzuri by any means kwa kila jema utakalofanyiwa.

8. Jivunie jinsia yako.

9. Itumie saana rule no. 8.

10. Izingatie saana maelezo ya rule no. 9.

Zipo nyingi saana... Ningekuwa mwandishi mzuur ningekuandikia makala.
 
Thanks ni nzur lkn I don’t believe in friends so I don’t have any friends
 
Kwa iyo unabilieve in nani humu ndani ambaye unahisi atakuwa na msaada kwa mtu asiye na marafiki.

Kutokuwa na marafiki tu ni tatizo kwa taratibu za kazi.

Tafsiri yake ni hii.

Hauko social.
Hauna ushirikiano...
Una matatizo
Hauaminiki .

Km umeshndwa kuwa na marafiki... Utawezaje kuwa na wateja.

U worth nothing km ndivyo.
 
Nope I once had friends lkn it didn’t turn out well na humu its not about trust it’s about help anyone can help you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom