emmy mlyuka
Member
- Oct 11, 2018
- 20
- 22
Naitwa EMMY WILLY nna miaka 22 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery na pia supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima hvyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yyte ht customer care au supermaket kaz yyte yenye kuniingizia kipato kizuri ASANTENI