Natafuta kazi

unapatikana wapi? unaweza kufanya kazi mkoa wowote hapa tz? vipi kuhusu Elimu?
 
Nitumie Cv yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks...yes nimeficha kwasababu nikitaja hapa wengi watanijua

Hamna mtu atakaenisumbua
Wenzio wanaweka CV zao online wewe unaona shida tu kuweka level ya elimu yako,are u serious,je wakikujua nn cha ajabu? Kutafuta kazi? Au upo kwenye ajira una hofu bosi wako atajua unatafuta kazi mpya?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Ndio Mwenye shida, halafu tukupm haya bana Kama kazi zinatafutwaga hivi tunakuja.
 
Unatafuta bwana wewe siyo kazi..!

Kama elimu ni zaidi ya degree unatafuta kazi kwa namna hii ujue ipo shida aisei..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…