natafuta kazi

Gods very own

Senior Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
124
Reaction score
66
Habari JF,

Natafuta kazi yoyote inayohusiana na marketing in general au hata kama haiusiani so long as mtu yeyote wa aina hiyo (marketing) anaweza kuifanya.

Am just a fresh graduant
 
Mkuu humu JF kuna watu waaina mbalimbali ,,sasa unapoleta Uzi km izi zilizo serious jaribu naww kua serious ,wawekee watu CV ..... Anaweza asiwemo humu ,,lkn akakusaidia kufikisha taarifa kwa muhitaji wako.
 
mmhh ajira na jukwaa la mapenzi afu uandike vizur maana unaandika kama unachat na anaekujua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…