Natafuta kazi:

Natafuta kazi:

mbena yero

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
53
Reaction score
21
Habari za muda huu, mimi ni mwanaume umri wangu miaka 25, mkazi wa mkoa wa Iringa Elimu yangu ni kidato cha nne,, natafuta kazi yeyote ile ambayo ni halali itakayoweza kuniwezesha kupata kipato kwaajili ya kujikwamua kimaisha, Asanteni.
 
Hakuna mashamba huko kwenu?? Lima Kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom