Natafuta kazi

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,475
9,394
habarini wana jamii forum,mimi ni kijana wa umri wa miaka 24,elimu yangu ni diploma ya hr,nlikuwa natafut kazi/ajira hata kama haifanani na fani niliyosomea unaweza kuntfuta kkupitia,0659756647,ahsanteni
 
samahan mkuu umeiacha kidogo.. diploma ya hr ndo ipi... kuuliza sio ujinga!
 
Unataka kufanya hata kazi ambayo hujaisomea? Are you that genius?
 
samahan mkuu umeiacha kidogo.. diploma ya hr ndo ipi... kuuliza sio ujinga!
hr means human resourse manager but course HUMAN RESOURSE MANAGEMENT wazee wa uhakiki wa majina vyeti feki na waajiri kwa kifupi ndo navyo jua ama afisa rasilimali watu.
 
Tafuta wanaume wa kazi muunde timu mkapige kontena moja la makinikia muuage umasikini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom