Troll bhn..Tumia ID yako tulioizoea
Hakika umenena mkuuBora ujiajiri
Asante my kwa ushauri ila maisha ya kukaa tuu nyumbni t z real hard alafu ukizingatia mm ni msichana kuna vishawishi vingi.....Pia hapna utakuwa ulinifananishaDuh kwa Urembo wako kukosa kazi sidhani... ila Usawa huu ni mgumu Nakushauri ukae home ujiandae na Chuo tu urelax akili itulie ukirejea chuo uwe fresh...
Kipicha chako kama nilishawahi kukuona pale The Chef pride usiku ukinunua msosi wa happy hours au nimekosea?
Una umri gani??na labda unauzoefu wa kazi gani ambayo uliwah ifanya??Asante my kwa ushauri ila maisha ya kukaa tuu nyumbni t z real hard alafu ukizingatia mm ni msichana kuna vishawishi vingi.....Pia hapna utakuwa ulinifananisha
Kwa coment kama hii ban ni halali yako!Tumia ID yako tulioizoea
Pia ukiendelea kuchat na mimi lazima nikupe vishawishi Vyangu😀Asante my kwa ushauri ila maisha ya kukaa tuu nyumbni t z real hard alafu ukizingatia mm ni msichana kuna vishawishi vingi.....Pia hapna utakuwa ulinifananisha