Natafuta kazi

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Geography, Civics na Kiswahili. Napenda kufanya kazi private kwa mkataba mrefu. Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi popote Tz. Napatikana kwa 0754004189. Kwa malipo yoyote nipo tayari pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom