Daah 2014 mwezi march ulisema unatafuta kazi na unasubir internship mwez wa 9, hiyo ilikuwa 2014.
Mwaka jana tu hapa mwezi Desemba ulikuwa unaomba jins ya kupata kazi nje ya nchi na ulizitaja Botswana, Namibia n.k.
Leo unakuja na ngojera ya una uzoefu wa miaka miwili South Sudan .
Ila sio mbaya M/kiti wetu anatafuta msaidizi pale ofsini kwake.