Natafuta kazi

tembophd

Senior Member
Jun 3, 2016
114
225
Daktari (MD) nimefanya kazi South Sudan 2years sasa nimerudi nchini. Ajira mlisitisha? naomba kazi kokote hapa TZ,

Pm!
mhhh nina mashaka...unataka au unaomba....afu mbona sisi atujasitisha kazi au unawesemea nani Uncle Magu
 
Davooo

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
486
1,000
Daktari (MD) nimefanya kazi South Sudan 2years sasa nimerudi nchini. Ajira mlisitisha? naomba kazi kokote hapa TZ,

Pm!
MissM4C aseee ilo jina tuu sidhani maana dhana ya uvyama na ukanda naona inashika kasi
 
Livejr

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,525
2,000
Daktari (MD) nimefanya kazi South Sudan 2years sasa nimerudi nchini. Ajira mlisitisha? naomba kazi kokote hapa TZ,

Pm!
Daah 2014 mwezi march ulisema unatafuta kazi na unasubir internship mwez wa 9, hiyo ilikuwa 2014.
Mwaka jana tu hapa mwezi Desemba ulikuwa unaomba jins ya kupata kazi nje ya nchi na ulizitaja Botswana, Namibia n.k.
Leo unakuja na ngojera ya una uzoefu wa miaka miwili South Sudan .
Ila sio mbaya M/kiti wetu anatafuta msaidizi pale ofsini kwake.
 
Dec 11, 2016
89
125

dah we jamaa nomah
 
zunya

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
1,275
2,000
Daktari (MD) nimefanya kazi South Sudan 2years sasa nimerudi nchini. Ajira mlisitisha? naomba kazi kokote hapa TZ,

Pm!
avatar ni wewe au...
kama ni wewe daaah Eeh mungu umejua kuumba vitu na watu watupendezao macho na mioyo, kwa hayo naomba uni PM basi kama utakua na muda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom