Hi, jamani kama jina langu lilivyo jobless ni muhitimu wa chuo, nmemaliza shahada ya kwanza chuo kikuu kishiriki cha ushirika na
studi za biashara (muccobs) ba-procurement and supply mgt. Nna upper second gpa. Kama kuna m2 anamsaada kwang kupata angalau sehemu ya kujishikiza mawasilianao email.
Blessingme74@ovi.com. Najua jf ndo kila kitu. Nawasilisha