mtamaushi2
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 403
- 390
Bado haujapata?Bado natafuta kazi wapendwa.
Bado haujapata?Bado natafuta kazi wapendwa.
Mkuu nimeku pmusimkatishe tamaa hiyo ni njia ya kutokea huna uzoefu huna mtaji utajiuza!? jibu ni no kafanye kazi ukipata mtaji achana na mishe za kuajiriwa me nimeajiriwa serikalini lakini nna mishe znazoni keep busy
mkuu hongera kwa kuajiriwa na kujiajir! mie cmtish namwambia ukipangiwa kwenda vitani ujue kuna risasi za moto ambazo ukileta mchezo unakufa ila ukimaliza vta ukarudi kuna nishani za heshma na kupga pcha na mkuu wa majeshi,usimkatishe tamaa hiyo ni njia ya kutokea huna uzoefu huna mtaji utajiuza!? jibu ni no kafanye kazi ukipata mtaji achana na mishe za kuajiriwa me nimeajiriwa serikalini lakini nna mishe znazoni keep busy
bado natafuta nashukur wengine kwa ushirikianoBado haujapata?
Asante kwa ushirikiano ubarikiwe piaUnauweza uhausegirl...salary 250k
Sifahamuhivi azam kwa siku analipa sh ngap kibarua bugurun vs tabata (unga wa ngano vs uhai)
kama upo dar ni simple kuzi face ofix viwanda na taasissi huwez kosa ndugu life hili hutakiwi kuchagua mana elimu yenyewe ni kidato cha sita apo huna ujuzi wowoteSifahamu
kama upo dar ni simple kuzi face ofix viwanda na taasissi huwez kosa ndugu life hili hutakiwi kuchagua mana elimu yenyewe ni kidato cha sita apo huna ujuzi wowote
Mkuu wanawahitajigi wa kike tu aupeleka cv pale morocco kama upo Dar wanahitajigi wafanyakazi uwe unajua cmpter application prgm kama microsoft word excell na publisher kuelekezwa zaidi nitext 0658825141
Erolink si ni recruitment agentukishuka moroco nyuma ya sheli ya bonjour kuna barabara inaelekea mbele hiv nenda nayo au ukifika nyuma ya sheli ulizia ofisi za erolink hata mama ntilie hapo wanaijua kikubwa uwe na cv alaf ujue ngeli na microsoft excell
kama matokeo yamekaa vibaya angekuja jukwaani au mambo ya mkopo
Poa mkuu au ni kwa jinsia ya kike tuna hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo
Mkuu mbona umeonyesha moyo sana kuna nn behind the scene
Hizi kampuni zinafanyaje kazi?? Kuna waliopata kazi kupitia hawa jamaa, naomba elimu kidogo mkuuna hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo