Natafuta kazi

Natafuta kazi

Kuwa makini kipindi ichi ,kila mtu anataka kukupa kazi kuwa makin wamejua ni wa kike
 
Yah naweza
peleka cv pale morocco kama upo Dar wanahitajigi wafanyakazi uwe unajua cmpter application prgm kama microsoft word excell na publisher kuelekezwa zaidi nitext 0658825141
 
A

ok

Ok...asante
 
ukishuka moroco nyuma ya sheli ya bonjour kuna barabara inaelekea mbele hiv nenda nayo au ukifika nyuma ya sheli ulizia ofisi za erolink hata mama ntilie hapo wanaijua kikubwa uwe na cv alaf ujue ngeli na microsoft excell
 
ukipata shida piga hiyo namba yangu hapo juu nkuelekeze au nkuelekeze seh nyingine wanakotoa ajira kwene taasisi za reseach hapo hapo moroco
 
9e6de24b6b5d169c1ae6321cf529f25f.jpg
 
nimejaribu kukuchorea kama utashindwa kuisoma hii rough map basi hata kaz usiende tafuta
 
nlisumbuka sana kupata/kutafuta kaz kabla cjasmua kujiajiri najua hawa madogo wanavyoumia kisaikolojia waswahili wanasema tenda unalopenda kutendewa na wenzako chitaji chochote nimewasaidia tu au umechukia
 
Thank u ubarikiwee
 
na hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo
 
Swali je kama angekua me ungekua na moyo huo
 
nishawaelekeza me wengi sana almost wa 5 na wako kwenye ajira shida ya me hawaulizagi they are much knws!
 
Swali je kama angekua me ungekua na moyo huo
Nipo kuomba msaada basi punguzen hayo yasiyo ya tija..ameeleza why anafany anachokifanya tena public hata we umeona pia unawez kufaidika na hiyo kitu hajanieleza private..tuwe na aman wapendwa.
 
na hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo
mwambie kazi ni kazi, ila ajiandae kuwa kbubu cha watu wengne, maana kwenye mshahara wake yatakatwa makato kbao, na kubaki na kduchu, asipokuwa na iman pamoja na uvumilivu utatenda dhambi ya tamaa na zinaa
 
usimkatishe tamaa hiyo ni njia ya kutokea huna uzoefu huna mtaji utajiuza!? jibu ni no kafanye kazi ukipata mtaji achana na mishe za kuajiriwa me nimeajiriwa serikalini lakini nna mishe znazoni keep busy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom