Natafuta kazi.

jussine

Member
Jul 18, 2016
36
95
Natafuta kazi inayohusiana na nasuala ya kilimo na mifugo.
Ninayo Elimu ya (stashahada)diploma in general agriculture.
Jinsia yangu yakiume
Ninaumri wa miaka 23.
Kwasasa napatikana dar es salam
Kwa mawasiliano number

0625723591

0753625191
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom