natafuta kazi inayohusiana na kilimo, elimu yangu ni stashahada ya kilimo na mifugo yaani (diploma in general agriculture). kwa sasa napatikana mbeya lakini nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.