Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 940
Ndugu wana forum natafuta kazi ikiwa ya udereva itakuwa poa tu mshahara wowote tu mradi nipate pa kulala nipo mwanza ila ntafanya kazi popote..kwa mawasiliano nicheki PM ni mwanaume wa miaka 25 October nafikisha 26 asanteni....KAZI IWE HALALI kwa udereva nina uzoefu wa miaka 6 naendesha magari yote manual na automatic mwisho canter.nicheki PM