Natafuta kazi

Oct 9, 2012
39
23
Jamani Watanzania, mwenzenu maisha yamenipiga, kwa sasa sina kitu mfukoni na maisha ya hapa jijini kwa kweli sio mchezo.

Kama kuna mtu anataka nimuwekee Tangazo kwenye blog yangu ili mwenzako nipate kipato kidogo cha kuweza kunisaidi nitafurahi sana.

Pia nimesomea habari za Viwandani hasa hasa kwenye eneo la Usindikaji na Uzalishaji, Pia nina ujuzi wa kwenye Mambo ya maabara.

Naomba kwa mwenye kutaka maelezo zaidi anaweza kuwasiliana na mie inbox ili tuweze kuwasiliana zaidi. Au anaweza niandikia kwa email hii gclick24@gmail.com
 
Back
Top Bottom