Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Una maana gani?alafu ni senior
Nashukuru sana MUNGU akujalie kwa kunipa njia ya kupata ridhikiNenda pale buguruni.kwenye kiwanda cha bakhressa cha ngano.asubuh na mapema unagaiwa kadi unaandikisha jina tayari kwa kupangiwa kazi.
Note.msingi nguvu.
Cha kuongezea nenda na barua ya kutoka selikali za mitaa... Niliwahi kufanya kazi pale kwa kiasi fulani naelewa geographia ya hapoNashukuru sana MUNGU akujalie kwa kunipa njia ya kupata ridhiki
Sawa nashukuru kwa mchango wako.Cha kuongezea nenda na barua ya kutoka selikali za mitaa... Niliwahi kufanya kazi pale kwa kiasi fulani naelewa geographia ya hapo
Mkuu ukifanikiwa uje utupe mrejesho kwa faida ya wengiSawa nashukuru kwa mchango wako.
Mkuu tupe muongozo kidogo kuhusu huko maana hali tete mtaaCha kuongezea nenda na barua ya kutoka selikali za mitaa... Niliwahi kufanya kazi pale kwa kiasi fulani naelewa geographia ya hapo
Kwakweli kakaMkuu tupe muongozo kidogo kuhusu huko maana hali tete mtaa
Pale uhakika wa kazi upo, , andaa hiyo barua kutoka selikali za mtaa ila unatakiwa kuwahi asubuhi saa kumi na mbili na nusu uwepo pale getini.Mkuu tupe muongozo kidogo kuhusu huko maana hali tete mtaa
kudadeki bora kujiajiri wadogo zanguPale uhakika wa kazi upo, , andaa hiyo barua kutoka selikali za mtaa ila unatakiwa kuwahi asubuhi saa kumi na mbili na nusu uwepo pale getini.
Kazi za mule ni za kawaidatu. Section ya kwanza kupanga viloba vyenye unga wa ngano vinavyotoka juu kwa winchi vya kilo5 kilo25 mpaka kilo50, Section ya pili nikupakia viloba vyenye unga wa ngano kwenye magari madogo na makubwa yanayoenda nje ya nchi na ndanj ya tanzania na ndani dar es salaam.
Nitaelezea Section yangu niliyowahi kufanya na lazima na wewe ndo mara yako ya kwanza lazima uanze na hiyo , , , nikupanga viloba vyenye unga wa unga wa ngano vinavyotoka juu kwa kutumia winchi
Malipo kwa shift ya mchana huwa inatoka pesa kima cha chini haipungui elf7 na kuendelea haizidi elf12 kula kwako ukumbuke, kazi inaanza saa mbili mpaka saa kumi na mbili ama saa kumi na moja kama sikosei za jioni . Na ikitoka elf7 ujue sku hiyo kazi ilikuwa hakuna
Malipo kwa shift ya usku huwa inatoka kima cha chini elf9 nakuendelea mpaka elf13 ama 14 kazi kuanzia saa moja na nusu mpaka saa kumi mbili za jioni kumbuka kula kwako
NB kazi zake sio za kitoto unabeba kilo 25 ama 50 huku unatimua mbio na kurudi kwenda kuchukua mzigo unarudi kwa mchakamcha Pale tuna jina la utani wabeba mizigo wote tunaitwa "Makuli[emoji23]" na mule hakuna watoto waliozaliwa Dar es salaam wote nikutoka mikoani
Kuna unga huwa unakosewa kuchanganywa[emoji23] maana huwa hakuna winchi ya kupandisha mpaka ghorofa ya tano ama sita na zinazokosewa kuchanganywa mara nyingi huwa kilo50 yaan siku ndo unaanza kazi bahati mbaya ukutane na hali hiyo ya kupandisha kilo50 kwenda ghorofa ya sita hata uwe na nguvu lazima uombe poo labda saivi iwe ishawekwa winchi ya kupandisha juu.... Asanteh sana ndugu zangu
Kg 50 ya ngano kichwani Nenda Rudi mchakamchaka masaa kama 12 hivi 🤔hii sio kitoto lazima ukazike mkuu ukiwa na unauhitaji lazima ufanye ili kutafuta kianzio ili badae ujiajirikudadeki bora kujiajiri wadogo zangu
Kwaiyo ulitaka niseme Mimi Ni mwanafunzi wa chuo Nina tafuta kazi za viwandani ili iweje??Mwaka jana ulikuwa chuo mwaka wa kwanza(uzi upo humu) leo unatafuta kazi viwandani, nini kimetokea?
.....
Tumuogope Mungu na Teknolojia. View attachment 2091234
Mwisho kabisa. Mwenzio anaposimama na shida usiwe Sehemu ya kumkatisha tamaa, kwasababu Leo kwako kesho kwangu..Mwaka jana ulikuwa chuo mwaka wa kwanza(uzi upo humu) leo unatafuta kazi viwandani, nini kimetokea?
.....
Tumuogope Mungu na Teknolojia. View attachment 2091234
sema una kiherehere mkuu, utakuwa mtoto wa kike wa bi tukinao weweMwaka jana ulikuwa chuo mwaka wa kwanza(uzi upo humu) leo unatafuta kazi viwandani, nini kimetokea?
.....
Tumuogope Mungu na Teknolojia. View attachment 2091234
Pole sana naona unatoa povu, usipanic ndugu. Kama mambo ya chuo hayakwenda vizuri unaweza tu kuwa mkweli.Mwisho kabisa. Mwenzio anaposimama na shida usiwe Sehemu ya kumkatisha tamaa, kwasababu Leo kwako kesho kwangu..
Unakumbuka ulivyokuwa una haha kutafuta kazi????
Fanya Mambo Yako[emoji16]View attachment 2091246