Natafuta kazi za ndani

Natafuta kazi za ndani

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Mimi ni dada miaka 24 natafuta kazi za ndani kwa mkoa wa dsm.
Nina uwezo wa kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto kama watakuwepo.
Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane na mimi kupitia pm.
 
Ukipata kazi hiyo Jamii forum utapumzika isije ikakusaharusha kuwapa madogo uji wa lishe
 
dada wa kazi toka jf,kutwa si utakuwa unacheza na simu?
 
........Daah! Nahitaji mfanyakazi wa ndani ila changamoto ni kwamba upo fixed kufanya kazi Dar peke yake na umri wako mmetofautiana miaka miwili tu na wife, sina uhakika kama wife atakuwa comfortable na uwepo wako.

Vinginevyo ungefaa sana kutusaidia kazi chache za nyumbani, nakutakia mafanikio mema.
 
kwani upo mkoa gani? we can negotiate.
 
Mimi ni dada miaka 24 natafuta kazi za ndani kwa mkoa wa dsm.
Nina uwezo wa kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto kama watakuwepo.
Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane na mimi kupitia pm.
Ngoja nikutafutie wenye kuhitaji kwa huku Zanzibar.
Hembu weka Mshahara wako kiasi gani
 
Aisee hicho kizungu tu chenyewe credit tosha,hapo mshahara lazima uendani na credit hiyo

Nafikiri huyu ameichukulia hii kazi kama professional na ndio maana anasema anaipa kipaumbele! Ukiona hadi presidaaa Nyani Ngabu anamhitaji ujue kaona viwango ambavyo kwa kweli angependa watoto/mtoto wake alelewe na dada wa aina hiyo, japo haimaanishi anavyoongea ni lazima awe hiyo lakini kwa haraka na maelezo yake naona ni mtu anaetambua nini anasema...
 
Last edited by a moderator:
Mi nakuhitaji nipigie pse 0657626995

Mhh,Lady Hustler,hapo kuna kazi gani ya kumuhitaji huyo.
Maana ma hustler wengi ni ma Brenda fasie.
Ume join May umepost post moja tu.
Then umeamua umtokee Binti wa watu Ki Hustler
Acha mchezo mchafu,yeye anataka kazi za ndani,sio hizo
 
Mimi ni dada miaka 24 natafuta kazi za ndani kwa mkoa wa dsm.
Nina uwezo wa kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa ni pamoja na kulea watoto kama watakuwepo.
Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane na mimi kupitia pm.

Napmba uni-"PM" uje unilee mimi mwenyewe au vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom