Natafuta kazi za ndani

Yaan vi2 vyote umekumbuka,bt kimoja 2 ndo umesahau,uweke bas ka picha ulikopga siku za karibuni,ingependza zaid!
 
weka cv yako, vyeti vyako vyote na barua uliyoandika kwa mkono. usisahau kuambatanisha na picha yako.
 
hawa wsichana waliomaliza form four ni wasumbufu sana mimi nilishawahi kuwa nao yaani wanajifanya wanajua kila kitu ukiwaelekeza wanajiona wajuaji sana, kutwa wallikua wanashinda kwenye TV, computer mara oh nikasome sijui nini shida tupu. mi niko tayari kukulipa hiyo hela ila shida niliyoipata siitaki tena
 
jaman naomben watanzania muwe seriouz pliz kama hauko makin huna nafas hiyo naomba msinipigie cm jaman hiy namba ni kwa wale tu wanao jua wana hiy nafasi tu jamaniii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hi there,
Nina bosi wangu anatafuta msichan wa ndani na analipa zaidi ya kiwango unachohitaji,tatizo wewe unataka dar na yeye yuko Arusha.
 
jaman naomben watanzania muwe seriouz pliz kama hauko makin huna nafas hiyo naomba msinipigie cm jaman hiy namba ni kwa wale tu wanao jua wana hiy nafasi tu jamaniii

Me naishi peke yangu gheto sifa zote ninazo je uko tayari kufanya kazi kwangu?
 
hawa wsichana waliomaliza form four ni wasumbufu sana mimi nilishawahi kuwa nao yaani wanajifanya wanajua kila kitu ukiwaelekeza wanajiona wajuaji sana, kutwa wallikua wanashinda kwenye TV, computer mara oh nikasome sijui nini shida tupu. mi niko tayari kukulipa hiyo hela ila shida niliyoipata siitaki tena

Acha kukatisha tamaa wenye nia ya kumsaidia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila la heri katika kutafuta kile ukitakacho. Nasikitika kuona kwamba inaelekea kwa sasa hujafikiria kujiendeleza kielimu labda kwa kutokuwa na uwezo kama huo. Kwa jinsi nilivyowasoma baadhi ya wachangiaji katika uzi huu inaelekea wako tayari kukusaidia katika kupata ajira ila kama unaweza kubadilisha msimamo wako kwamba ajira ni lazima ipatikane Dar tu basi utaongeza uwezekano wa kufanikiwa. Nina ombi moja kwako siku za usoni uangalie uwezekano wa kujiendeleza kielimu ili uachane na kazi za uhouse girl ambazo mara nyingi hazina future kimaisha. Kila la heri.
 
duh,housgal msomi hivyo kunishinda hata mimi,hata jf waijua?sikuwezi,kwanza wewe utakuwa hutokei iringa
 
Hi there,
Nina bosi wangu anatafuta msichan wa ndani na analipa zaidi ya kiwango unachohitaji,tatizo wewe unataka dar na yeye yuko Arusha.

sawa ila nilikuuliza hukuni jibu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii wat can i do sasa nisaidieni maana mpaka sas sijapata na pia natamani sana nipate kazi mapema ili mwezi kama huuuuu mwakani niwe chuo cha ualimu jamaniiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeeeeeeee
:lol::lol::lol:
 
jailishe sas jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naomba nibadilishe sas iwe mkoa wowote ule
 
ni kweli kaka yangu mim nina credit mbili natafuta tu fedha kaadhaaaa ambazo zitanisaidia kwenda chuo ndo maaaana ninataka kupata kazi angalau nikusanye kusanye nniende shule hata mmi ninataka sana kuendelea na masomo pia mkoa nimebadilisha sas maaana naona sipata kazi hadi sasa na mda unaenda niliplan mwez wa kumi na mbili nianze ila sidhani kama nitafanikiwa
 
Issue yako imenigusa sasa,mwanzo nilifikiri ni utani,mana humu jf bhana,ok dar kwa nani? Nijibu hili swali then i will call u
 
ni kweli kaka yangu mim nina credit mbili natafuta tu fedha kaadhaaaa ambazo zitanisaidia kwenda chuo ndo maaaana ninataka kupata kazi angalau nikusanye kusanye nniende shule hata mmi ninataka sana kuendelea na masomo pia mkoa nimebadilisha sas maaana naona sipata kazi hadi sasa na mda unaenda niliplan mwez wa kumi na mbili nianze ila sidhani kama nitafanikiwa

Issue yako imenigusa sasa,mwanzo nilifikiri ni utani,mana humu jf bhana,ok dar kwa nani? Nijibu hili swali then i will call u,kwan unataka uhaugirl tu? Ukipatiwa kaz ingne hufanyi?
 
Dada hauko siriaz,nimekutafuta kwenye cm yako hupatikan,nime2ma sms mpaka sasa bado iko hewan,kuna kaz arusha niPM nikuunganishe,kama umeshapata leta taarifa hapa watu tusihangaike tena kukutafutia,
 
Issue yako imenigusa sasa,mwanzo nilifikiri ni utani,mana humu jf bhana,ok dar kwa nani? Nijibu hili swali then i will call u,kwan unataka uhaugirl tu? Ukipatiwa kaz ingne hufanyi?[/QU hata nyingn nafanya haina tatiz bora nipate kile ambacho nakidhamilia kufikia dar kwa wifi yang mke wa kaka yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom