Sina fani yoyote in saidia funding tu nipo tang-mazinde mkuuIngekuwa vizuri kama ungesema uko mkoa gani, una ujuzi na kazi zipi lasivyo hakuna mtu mwenye kazi atakufwata PM kuuliza hayo.
Weka maelezo yaliyoshiba
Sent using Jamii Forums mobile app
hujambo, nitumie ujumbe wa faragha unapoishiNdugu zangu
Mimi ni kijana wa miaka 20 naomba kama kuna mtu ana kazi yoyote anisaidie ili niweze kuwatunza mama angu na wadogo zangu.
Tafadhali kama ukiguswa na una moyo naomba unisaidie mungu atakulipa tunateseka sana