Natafuta kazi yoyote

Mzee Baba-Aloyce

New Member
Dec 1, 2019
3
3
Naitwa Edward, naishi Tanga. Nina umri wa miaka 25 na elimu yangu ya kidato cha sita.

Nimejileta kwenu waungwana tuweze kupeana connection,

Nina ujuzi wa kuoperate softwares za kompyuta kama Microsoft Word, Excel, Power Point nk.

Ni mwaminifu na niko vizuri katika lugha ya Kiingereza na niko vizuri in communication skills.

Nina uzoefu wa kufanya kazi kama:
1. Sales (T-Marc Tanzania)
2. Teaching (Good Hope Tuition Center - English, Geography, History na masomo mengine ya sanaa)
3. Stationary, nk

Nahitaji kazi yoyote. Kwa yeyote mwenye kazi yoyote naomba aweze kuniconnect.

Maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0762860638.

Asanteni na Mwenyezi Mungu awabariki sana.
 
Sasa kazi yeyote ndugu..? Huko hamna mashamba..? Maana kuuliza kazi yeyote tayari ni kukosa sifa na kumanisha u mbabaishaji
 
kuna dada anatafuta watu wa kumuuzia ice cream zake,jaribu kutafuta uzi wake uwasiliane nae!
 
Naitwa Edward, naishi Tanga. Nina umri wa miaka 25 na elimu yangu ya kidato cha sita.

Nimejileta kwenu waungwana tuweze kupeana connection,

Nina ujuzi wa kuoperate softwares za kompyuta kama Microsoft Word, Excel, Power Point nk.

Ni mwaminifu na niko vizuri katika lugha ya Kiingereza na niko vizuri in communication skills.

Nina uzoefu wa kufanya kazi kama:
1. Sales (T-Marc Tanzania)
2. Teaching (Good Hope Tuition Center - English, Geography, History na masomo mengine ya sanaa)
3. Stationary, nk

Nahitaji kazi yoyote. Kwa yeyote mwenye kazi yoyote naomba aweze kuniconnect.

Maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0762860638.

Asanteni na Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Kwa nini usifungue tuition center ukaendelea kufundisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom