MICHAEL MBWILO
New Member
- Oct 7, 2019
- 1
- 0
Jina langu ni Michael Mbwilo Elimu yangu ni kidato cha sita natafuta kazi yeyote ya halali. 0712957943
Dah moderators umu siku hizi mmekua fb.
Dah moderators umu siku hizi mmekua fb.
Mkuu usidhani kama wewe unamaisha mazuri unahaki ya kutudhihaki sisi tunaoshinda humu kutafuta ajira...maisha yanabadilika mkuu usidhani sisi tutaendelea kuwa hivi kila siku or na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo milele...kuna siku unaweza kupata shida na sisi unaotudharau humu ndo tukawa sehemu ya msaada kwako...maisha yanabadilikaDah moderators umu siku hizi mmekua fb.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.. pole kaka, siku yako ipo yote yatakuwa historiaMkuu usidhani kama wewe unamaisha mazuri unahaki ya kutudhihaki sisi tunaoshinda humu kutafuta ajira...maisha yanabadilika mkuu usidhani sisi tutaendelea kuwa hivi kila siku or na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo milele...kuna siku unaweza kupata shida na sisi unaotudharau humu ndo tukawa sehemu ya msaada kwako...maisha yanabadilika
Duh... Wewe sio binadam wa kawaidaDah moderators umu siku hizi mmekua fb.
Rafiki umeongea kwa hisia na uchungu sana,maisha ni magumu sana kwa hiyo mtu anapotafuta kazi apewe msaada kama inawezekana bali sio kudhihakiwaMkuu usidhani kama wewe unamaisha mazuri unahaki ya kutudhihaki sisi tunaoshinda humu kutafuta ajira...maisha yanabadilika mkuu usidhani sisi tutaendelea kuwa hivi kila siku or na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo milele...kuna siku unaweza kupata shida na sisi unaotudharau humu ndo tukawa sehemu ya msaada kwako...maisha yanabadilika