Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

natafutakazi

Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
26
Reaction score
12
Habari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako

Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa

Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox

Tuzungumze vema ila sitaki majaribu

Kama huna kazi Basi pita tu
 
Hata kazi za ndani?? Niko seriaz mkuu!!
 
Anahitajika mfanyakazi wa ndani wa kike,eneo Dar es salaam..Awe Karibu na maeneo yanayozunguka Dar es salaam kama Tanga,Morogoro asitoke mbali.
Kwa mawasiliano zaidi +255716516155 au +255623496373
 
Habari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako

Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa

Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox

Tuzungumze vema ila sitaki majaribu

Kama huna kazi Basi pita tu
Utakuwa na BSc in ALL Profesional Studies.Hongera sana. Ulisoma nchi gani na chuo gani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom