Natafuta kazi yoyote

janaina idd

Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
10
Reaction score
2
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
 
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
Mkuu janaina ingefaa useme walau kazi zipi labda unaziweza kwa ufasaha wake na uweke wasifu wako kidogo maana yeyote nayo kazi kueleewa.

Ushauri tuu, povu ruksaaa chief.
 
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa

Niambie yafuatayo nikupe kazi
Unaishi wapi?
Kama ukipata kazi unataka ulipwe kiasi gani?
Je unajua kutumia computer?
 
Niambie yafuatayo nikupe kazi
Unaishi wapi?
Kama ukipata kazi unataka ulipwe kiasi gani?
Je unajua kutumia computer?
naishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
 
naishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
dogo rekebisha huo mcharazo wako mbona unaandika kama ***** halafu unasema lengo sio kutoa hasara sana unamaanisha utasababisha hasara kiasi ama?
 
Umeishia la ngapi mbona uandikaji wako unatia shaka au umezoea kuandika kifaransa?
 
Mnam-judge kwa uwezo wake wa kuandika kwani kawaambia anatafuta kazi ya ofisi ya uandishi? Be relevant buddies
 
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa

Rekebisha hapo katika unatafuta Kazi yoyote na upo tayari kuifanya kwani kwa Sisi wakaazi wa Mikoa hii ya Pwani ya Bahari ya Hindi kidogo umetushtua kama siyo hata kutuogopesha Kijana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…