Natafuta kazi yoyote ya kibarua, kazi ya jikoni au hata kusaidia fundi ujenzi

PRINCEBOY

Member
Apr 23, 2014
73
52
Habari ya leo wakuu?
Naomba kwa mtu yeyote anaye weza kunisaidia kazi yoyote ile ntafanya tu hata ya kusaidia fundi ujenzi naweza kufanya wakuu,mimi niko mkoa wa Mbeya.Namba yangu nnayo tumia 0758741531 au WhatsApp +255625711709
Nashukuru kwa kusoma Thread yangu barikiwa sana.

Habari ya kazi wakubwa?
Nimejitokeza tena kwenu kwa mara nyingine naomba mwenye kazi yoyote ambayo anaona inaweza kufwnywa na mimi anisaidie na niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile ntaenda naomba sana wakuu,kwa ambaye utaona nimeandika vibaya au nimekosea kiundishi samahani nahisi huenda maelezo yangu yasijitosheleze ila lengo kuu natafuta kazi wakuu yoyote ile,na kama kuna mtu ata hitaji dhamana nnayo nyumba niliyo ijenga mwaka huu namba yangu 0758741531
Nashukuru wakuu nawasilisha kwenu

Habari ya leo wanajukwaa wenzangu?

Naomba msaada kwa yeyote ambaye ana kazi yoyote au anajua mwenye kazi anisaidaie wapendwa, uwezo wa kufanya kazi ninao kutumia nguvu au hata maarifa, elimu yangu ni kidato cha nne nilimaliza mwaka 2012, uzoefu wangu kikazi ni sales, ambapo nimefanya sana hii kazi nilianzia Tigo Tanzania nikiwa kama freelancer kwa miaka niwili na baada ya hapo nilipata nafasi ya kuwa kiongozi wa Timu ya mauzo

Baada ya kukizi vigezo vilivyo hitajika katika uzoefu wa kazi nayo nimefanya kwa muda wa miaka miwili na nusu na cheti cha cha kufanya vizuri kwenye sales nilipewa nnacho,kwahyo nna uzoefu mzuri katika idara hii ya masoko japo sina elimu ya juu na business language najua ikiwa ni pamoja na customer care language.

Mbali na hivo pia uwezo mzuri wa kufanya usafi nnao pamoja na kazi za kutumia nguvu,makazi yangu ni mkoa wa Mbeya
Mawasiliano yangu 0758741531,nashukuru na ubarikiwe kwa kusoma post yangu
Nawasilisha kwenu wakuu

Wakuu habari ya leo?

Samahani, nimerejea kwenu tena nikiomba mwenye kazi yoyote sehemu yoyote anisaidie ntaweza kuifanya naomba sana wakuu niko siriasi, makazi yangu ni mkoa wa Mbeya ila kazi popote pale nitaweza kufanya, elimu yangu ni kidato cha nne umri wangu miaka 25,

Nina uzoefu kwenye kazi za masoko na pia zakutumia nguvu na akili pamoja na kufanya usafi wa jumla ndani na nje au kufua nguo zote, kuchoma nyama, chips, upishi wa vyakula mbalimbali, nna uwezo pia wa kuongoza team work kama nikipewa, kusaidia fundi ujenzi, kufanya kazi zinazohusika na mahesabu, kufundisha somo la hisabati na English.

Nashukuru wakuu, nawasilisha kwenu pia ubarikiwe wewe utakaye nisaidia.
Namba yangu ni 0758741531

Habari ya leo wakuu?
Nimerejea kwenu tena kwa mara nyingine nikiwa naomba msaada wenu mkubwa sana wa kupata kazi yoyote kama kibarua au kazi za upishi wa vyakula ama kuchoma chipsi na nyama kwenye sehemu mbalimbali ama kazi yoyote itakayo patikana niko tayari,pia bila kusahau nna uwezo wa kufanya kazi ya marketing.Naishi Mbeya
Nawasilisha kwenu wakuu

Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good custotomer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatikuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709

Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good customer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni na hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo nikiwa kama normal distributor ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatukuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709
 
Nikweli mkuu ardhi zipo za kulima lakini mashamba ni yakukodi kwa heka msumu huu ni ghari sana afu pia mtaji unahitajika su kwamba sijataka kufanya hivo nimejaribu mkuu ila uwezekano ni mdogo kulingana na mtaji wa kuwekeza mkuu
 
mkuu uza smartphone hiyo unayo tumia katika whatsaap uanze kufuga kuku....
Nashukuru ni wazo zuri sana nami nilisha lifikiria na eneo la kufugia na mabanda tayari nnayo shida ni namna ya uendeshaji wa mradi na ndo maana nafikiria nikiwa na Fanya kazi ntaweza kuingiza pesa itakayo nisaidia kwenye chakula cha kuku na matibabu maana naweza kuuza sim kwa 80000 na malengo yasitimie.
 
pole mkuu kwa changamoto ya ukosefu wa kazi. najaribu kufikiria hali ulio nayo wakati huu naona huruma sana , mimi binafsi ni fundi lakini kazi hazipo mkuu. lakini usife moyo kujitokeza kwa njia ya namna hii ni hatua kubwa umepiga kaka
sikushauri uuze sim maana hela saivi haina samani utajikuta simu huna na hela hauna. endelea kupambana na kudhubutu na kufanya yoyote ilio mbele yako.
Mungu awe nawe mr.
 
Nashukuru mkuu ubarikiwe sana kiongozi
 
Hakika ungekuwa Tanga ningetafuta namna ya kukusaidia maana yupo mtu wangu wa karibu sanaa kule ni fundi ujenzi ningemlazimisha akuchukue. Mimi nlipomaliza chuo na kukaa kidog mtaa basi pia nilikuwa saidia fundi na nakumbuka nlipigiwa simu ya kuripoti kazini saa saba mchana nimebeba tofali begani, nkaitwa kwenye bank flani hivi na kusign contract. Kwa mungu hakuna kubwa.
 
Nw

Nashukuru mkuu,ila naamini ipo njia
 
Watu wa hivi huwa nawaogopa sana

Ila kila la kheri mkuu
8ce56cb15c7dacdc130409cc3aeda978.jpg
 
Nikweli mkuu ardhi zipo za kulima lakini mashamba ni yakukodi kwa heka msumu huu ni ghari sana afu pia mtaji unahitajika su kwamba sijataka kufanya hivo nimejaribu mkuu ila uwezekano ni mdogo kulingana na mtaji wa kuwekeza mkuu
Achana nae CCM huyo. Anafikiri wote mnalipwa buku 7
 
Habari ya kazi wakubwa?
Nimejitokeza tena kwenu kwa mara nyingine naomba mwenye kazi yoyote ambayo anaona inaweza kufwnywa na mimi anisaidie na niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile ntaenda naomba sana wakuu,kwa ambaye utaona nimeandika vibaya au nimekosea kiundishi samahani nahisi huenda maelezo yangu yasijitosheleze ila lengo kuu natafuta kazi wakuu yoyote ile,na kama kuna mtu ata hitaji dhamana nnayo nyumba niliyo ijenga mwaka huu namba yangu 0758741531
Nashukuru wakuu nawasilisha kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom