Natafuta kazi yoyote mkoa wowote

Natafuta kazi yoyote mkoa wowote

Wacheki Lake Oil Wametangaza Nafasi Za Kazi Zipo Mikoani Lakini Wamejenga Vituo Vipya Vya Mafuta.
 
Habari ndugu nahitaji any job ya kuniingizia kipato cha Ellfu 10 tu kwa siku.

Mkoa wowote ikiwa Dar itakuwa best sana

0718569091

Naomba kuwasilisha
Hakuna mtu atakayekupa kazi Ili utatue matatizo yako.
 
Labda wewe ndo huwezi kutoa, mbona kama unasemea watu.?
Acha roho za kichawi.
Unaweza kuhimili MJEGEJE

IMG_20220219_073845.jpg
 
Back
Top Bottom