Natafuta kazi yoyote jamani

Natafuta kazi yoyote jamani

uza smartphone panda bus urudi ukalime kijijini ndani ya mda mfupi utapata unachokihitaji

Point hii. Kuku mmoja 10,000/= mtetea. Kuku 10*10,000=100,000/= Jogoo 1=15,000/= . Chukua pumba za 30,000= inakuwa 145,000=

Watataga mayai nane kwa siku 8*400= 3,200/=

3,200= Kwa siku si ndo ameanza kujitegemea ivo.
 
Ahsante kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom