Kwa Elimu yako hapa mjini kazi ya upesi upesi ni ulinzi, sasa kwa kukushauri kaombe ulinzi kampuni kubwa Kama G4S halafu oumbe night shift ujiendeleze kielimu wakati wa mchana. Maisha yanaanza na moja, ingawa siyo Mara zote, na yakianza na tatu uwe makini.
Huo ulinzi ufanye Kama unatumikia adhabu ya ujinga wako kufeli, halafu apply chuo Ni miaka miwili tu utakuwa umehitimu. Vinginevyo utapoteza muda.
kuna watu tuna degree , ila hata hiyo kaz ya ulinzi tunaitakaKwa Elimu yako hapa mjini kazi ya upesi upesi ni ulinzi, sasa kwa kukushauri kaombe ulinzi kampuni kubwa Kama G4S halafu oumbe night shift ujiendeleze kielimu wakati wa mchana. Maisha yanaanza na moja, ingawa siyo Mara zote, na yakianza na tatu uwe makini.
Huo ulinzi ufanye Kama unatumikia adhabu ya ujinga wako kufeli, halafu apply chuo Ni miaka miwili tu utakuwa umehitimu. Vinginevyo utapoteza muda.
Kabisa maisha yanaanza naa moja.Kwa Elimu yako hapa mjini kazi ya upesi upesi ni ulinzi, sasa kwa kukushauri kaombe ulinzi kampuni kubwa Kama G4S halafu oumbe night shift ujiendeleze kielimu wakati wa mchana. Maisha yanaanza na moja, ingawa siyo Mara zote, na yakianza na tatu uwe makini.
Huo ulinzi ufanye Kama unatumikia adhabu ya ujinga wako kufeli, halafu apply chuo Ni miaka miwili tu utakuwa umehitimu. Vinginevyo utapoteza muda.
Akifika 30 yrs atajitolea kulinda miji ya watu bure!Eti hutaki kazi ya ulinzi.
Anyway sawa
hakukuwaa na haja ya kutoa lugha kinzani na kumkosoa kwa kukosa ustaarabuHun elimu yoyote then unabagua kazi ...
Kwa form four yako Bora ukasome chuo upate ujuzi ndio uje kutupangia ....
Vinginevyo nenda kalinde ,uwe mlinzi tu ....
pole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?
Mkuu umenikumbusha mbali Sana.Please wana Jf kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam
Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua
Jinsia yangu ni wa kiume
Umri miaka 23
Elimu yangu Form 4
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani na njee ya Tanzania
Ntafurahi sana kama mtanishika mkono wana JF
Mungu awabariki sanaaaa
Mkuu umenikumbusha mbali Sana.
Nakumbuka miaka 20 iliyopita,,nikiwa nahangaika kutafuta kazi.
Baba yangu alinihusia kufanya kazi yeyote halali isipokuwa kazi ya ulinzi.
Nilimuelewa Sana ..
Big up mkuu,,
Mungu akutangulie,, hakika utapata kazi halali itakayokusaidia kupunguza makali ya maisha...