Natafuta kazi yoyote halali

Mbona Gender yako hujaiweka hapa Ndugu? au Wewe unamiliki Silaha zote mbili za Kibaiolojia kama ambavyo Mwanariadha Semenya anazimiliki?
 
 
Wasap me through 0744033555 tuongee zaidi
 
Kila la kheri mwalimu
 
Kama unaweza kufanya kazi Dodoma Wilaya ya Kongwa nicheki 0620333409,ni Shule binafsi lakini
 
Kweli ajira zimekuwa ngumu sana.

2019

View attachment 1713870

2021

View attachment 1713871

BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?[emoji116]



View attachment 1713872

 
Hivi we mtu, una nini lakini?. Mimi ni mwanaume uliwah kuniona?. Mbn unanifata Kila sehemu?. Usizushe tu mambo khaaa.
 
Mbn mimi sikufatilii kwenye nyuzi zakoo
 
Kwa vigezo ulivovitoa kule maeneo wewe sio wa kuomba kazi
Hivi watu wa jf mna nini lakini?. [emoji2][emoji2] Bdl ya kujibu kulingana na post ya sasa unaanza kutafuta vya nyuma. Inakuwaje hii, unakuwa unavutiwa na mtu au? Ndo mn unafata vya nyuma?. Alafu haya ni maisha, muda wwt na wkt wwt mwenyezi Mungu akiamua kukushusha chini anakushusha tu kwa sekunde. Hii c ajabu. Leo unaweza ukawa bilionea kesho ukawa fukara. Usikariri maisha mkuu, eti [emoji4][emoji16][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…