Natafuta kazi yoyote halali Dar

Natafuta kazi yoyote halali Dar

Tafuta cherehani moja,weka hapo mlangoni,anza kupiga hela
 
K
Habari wakuu!
Natafuta kazi yoyote halali ndani ya Dar es salam.
Jinsia= ke
Umri= 21
Elimu= form 4, Certficate ya hotel management
Ujuzi= fundi cherehani.
Kazi nazoweza kufanya nikama receptionist, upishi, kuuza duka nayoyote inayofundishika kwa urahisi.


Sent using Jamii Forums mobile app

kama bado hujafanikiwa kupata kazi na unahisi unauwezo wa kufanya marketing katika shule za udereva. Naomba nicheck kwa 0757930779
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom