Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,566
- 2,786
Nje ya Dar vipi?
Idhini mkuuSawa, ngoja tusubiri hidhini kwanza kwa princess (Sakayo)then nitakupa mwongozo usijari. Maisha kusaidiana mkuu kama upo na nia ya kazi kweli.
Sawa.
😵 😵 😵Aminay said:Hakuna waoaji humu
Wapi pameandikwa natafuta kuolewa??? Mkisha kunywa mipombe yenu yakienyeji mnaropoka tu😵 😵 😵
Kwa hyo unatafuta na waoaji ila humu hawapo?
Kila la kheri!
SAMAHANI MKUU. RELAX!Aminay said:Wapi pameandikwa nataka kuolewa??? Mkisha kunywa mipombe yenu yakienyeji mnaropoka tu
Uko seriously kweli ndugu
Boss nikuajiri mimi haya ni maajabu
Kilio chako ni changu aminay
"Yoyote halali" nasijafanikiwa kupata badokwakua wewe ni mwanamke kazi yoyote umepata narudia 'yoyote' maana ukiona komenti hizi zote ni kwakua ke ungekua me hata kusoma tu uzi ingekua ngumu but kila lakheli jirani