Natafuta kazi yeyote

Natafuta kazi yeyote

Dasaa

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
8
Reaction score
1
MIMI NI BINTi MWENYE UMRI WA MIAKA 28 NI MWANACHUO

NATAFUTA KAZI YEYOTE AMBAYO ITANIINGIZIA KIPATO NITAKACHO KITUMIA KWA NAULI, STATIONARIES NA CHAKULA NATOKA CHUO SAA 6 MCHANA BAADA YA HAPO NAKUA FREE MIMI NI MPISHI MZURI SANA NA MWEPESI WA KIJIFUNZA PIA NAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU WA HALI YA JUU

KWA YEYOTE ANAE HITAJI MTU WA KUMSAIDIA HOTELINI, NYUMBANI,MAKAZINI AU KAMA KUNA MTU ANAHITAJI MFANYAKAZI NIKO TAYARI.

NASHUKURU.:wave:
 
Mmh! Mpendwa, una umri gani sasa?? Maana kwenye uzi huu umeandika miaka 28, kuna uzi mwingine umeandika miaka 26.
 
Ni Pm kuna kazi ya dada wa nyumbani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
upo chuo lakn kujieleza hujui, kwenye title umesema unataka kaz yeyote afu maelezo yako unasema unataka kupka, ckuelewi

Mkuu mbona hivyo??? Ye anataka kazi yoyoye ila ametaja maeneo anayoyamudu vizuri...kuna ubaya gani??
 
Mmh! Mpendwa, una umri gani sasa?? Maana kwenye uzi huu umeandika miaka 28, kuna uzi mwingine umeandika miaka 26.
Kama unaweza kumsaidia huyo dada msaidie badala ya kuanza kuhoji umri wake maana umri ni namba tu mkuu.
 
MIMI NI BINTi MWENYE UMRI WA MIAKA 28 NI MWANACHUO

NATAFUTA KAZI YEYOTE AMBAYO ITANIINGIZIA KIPATO NITAKACHO KITUMIA KWA NAULI, STATIONARIES NA CHAKULA NATOKA CHUO SAA 6 MCHANA BAADA YA HAPO NAKUA FREE MIMI NI MPISHI MZURI SANA NA MWEPESI WA KIJIFUNZA PIA NAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU WA HALI YA JUU

KWA YEYOTE ANAE HITAJI MTU WA KUMSAIDIA HOTELINI, NYUMBANI,MAKAZINI AU KAMA KUNA MTU ANAHITAJI MFANYAKAZI NIKO TAYARI.

NASHUKURU.:wave:

To mwanachuo,I can offer you something,ila next time sio vizuri sana ukaandika yoyote,watu wata take advantage of you.Call me at 0659143784.
 
Thank you very much i will call you soon. Thank you again.
 
Tuwe makini wengine matapeli chuo unatoka saa sita mkopo je uwezo wa kulipa fees je kuweni makini wengine ni matapeli atuambie yupo chuo gani anasomea kitu gani na ngani
 
MIMI NI BINTi MWENYE UMRI WA MIAKA 28 NI MWANACHUO

NATAFUTA KAZI YEYOTE AMBAYO ITANIINGIZIA KIPATO NITAKACHO KITUMIA KWA NAULI, STATIONARIES NA CHAKULA NATOKA CHUO SAA 6 MCHANA BAADA YA HAPO NAKUA FREE MIMI NI MPISHI MZURI SANA NA MWEPESI WA KIJIFUNZA PIA NAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU WA HALI YA JUU

KWA YEYOTE ANAE HITAJI MTU WA KUMSAIDIA HOTELINI, NYUMBANI,MAKAZINI AU KAMA KUNA MTU ANAHITAJI MFANYAKAZI NIKO TAYARI.

NASHUKURU.:wave:

Kazi Ipo Sea Cliff Hotel Kama Utakuwa Tayar 2wacliane...
 
Back
Top Bottom