Usimjaji mtu kwa vile unamuona muonekano wake tuu
Unaweza ukamuona mtu kavaa mlegezo ukadhani ni muhuni kumbe amevaa vile kwa lengo gulani kwa muda fulani
Unaweza muona Sheikh kanisani afu ukaona kama vile ni mnafiki kumbe uwezi jua ni kwanini yuko pale
But yote kwa yote asante kwa maono yako na ushaur wako