Natafuta kazi ya uuzaji wa maduka ya computer na simu

Erick 1

New Member
Jan 23, 2016
3
0
Naitwa Erick nipo dsm
Natafuta kazi ya kuuza maduka ya computer au simu
Miaka yangu ni 22
Nina uzoefu wa kutumia computer pamoja na baadhi ya softiware na hardware zaid ya miaka miwili
Mawasiliano 0654937160
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom