Natafuta kazi ya uuguzi popote pale Tazania.

Tenno

JF-Expert Member
Apr 7, 2016
323
157
Habari zenu wakuu. Kama kuna mtu ana hospitali au disensary anisaidie nije nifanya kazi au ya kujitolea tu ili kama ataridhika na utendaji wa kazi yangu ataniajiri maana nimechoka kusubiri ajira. Na namuahakikishia ctahama. Nimesomea nurse midwife. Mungu nisaidie nipate kazi kupitia humu
 
TANGAZO
Kama una ndugu au rafiki Nurse mwenye Diploma au Degree na yuko tayari kufanya kazi Pwani na shirika la wamarekani,pia Mfamasia mwenye Certificate au Diploma naomba tuwasiliane kwa namba 0712268900,0765862190 au 0714150062

Marie Stopes International inahitaji madaktari na manesi wa kutosha kwa ajili Outreach teams ambazo zipo TZ nzima zikitoa huduma kwa wahitaji wa huduma za afya hasa za uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi. Posho za kila siku zikiambatana na mishahara mizuri. Naomba taarifu ndugu, jamaa na marafiki watume CVs kwa jmkunda@mst.or.tz.
 
Mkuu hizo namba nimezipiga lkn hata hawapokei ila nashkuru nitatuma kwa kutumia hyo email. Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom