Natafuta kazi ya Uuguzi na Ukunga

Natafuta kazi ya Uuguzi na Ukunga

Deby Amos

New Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
1
Reaction score
2
Habari!!

Natafuta kazi ya kufanya kama muuguzi na mkunga nina diploma level kwenye hospital au dispensary sehemu yoyote kati ya kwanza, Shinyanga au Kahama.

Mwenye connection anisaidie tafadhali
 
Zunguka zunguka kwenye Taasisi za afya unaweza kubahatisha
 
Back
Top Bottom