Natafuta kazi ya uuguzi na ukunga

Natafuta kazi ya uuguzi na ukunga

fjoseph

New Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
4
Reaction score
3
Mimi ni EN natafuta kaz kweny hospital yeyote,health centre au dispensary nipo tayari kufanya kaz sehm yeyote,nimesoma 2yrs ninauwezo wa kutosha katka fani hii na leseni ninayo,nimehtmu mwaka jana ,nafanya kaz sehm yeyote, ambaye anaweza kuniajir au ana ndg yake anipm,
 
Kuna nafasi zimetangazwa na wizara ya afya kwa clinical officer, clinical assistant na nurses (En),nafasi zipo chini ya wizara ya afya kwa udhamini wa CDC (central diseases control) Wamarekani, Weka namba yako ni kutumie hilo Tangazo la ajira
 
jaribu, zikizingua, ni PM nikuunge private Hosp, kila lakheri
 
Back
Top Bottom