Natafuta kazi ya utabibu

cimque

Member
Sep 15, 2016
55
95
Nchi ishasema
Hapana namanisha,ukisoma MD utakuwa uko vizur sana ,hutopata tabu,masilahi yatakuwa mazuri,let's say kama bahati mbaya iliyotokea toka2015- to now ungekuwa chuoni so umepenguza miaka,samahani kama nimekukwaza ila ni ushauri tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom