Natafuta kazi ya usimamizi wa shamba

Natafuta kazi ya usimamizi wa shamba

Nzungu wa chinese

New Member
Joined
May 16, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Habari za humu JF, natumai mko salama na mnaendeleza mapambano.

Niende Moja kwa Moja kwenye ombi langu, naomba mwenye kazi ya usimamizi wa shamba lake, au kama Kuna mtu humu ndani anafahamiana na mtu mwenye shamba anayehitaji msimamizi naomba anisaidie kuniunganisha.

Kazi ikipatikana Kanda za juu kusini kama mbeya, songwe, Njombe au Kanda za pwani kama Tanga,pwani na morogoro. Itakuwa njema zaidi. Natanguliza shukrani.
 
Tuwasiliane. Natafuta msimamizi wa shamba, lipo Namtumbo Ruvuma
 
Nahitaji msimamizi wa shamba pia eneo ni Mkuranga, Pwani, akiwa na Mke wa kusaidiana majukumu itakuwa vizuri zaidi, tuwasiliane 0653828027
 
Una ujuzi wotewote unawohusu uzalisha wa mazao ambao eidha umeupata veta au chuo cha kilimo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom