Natafuta kazi ya usafi Maofisini

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
130
Habar ndg zangu.
Mm ni binti nina umr wa miaka 24 ninaelm ya chuo diploma ya journalism,ninatafta kaz ya kufanya usaf maoficine mwenyekuweza kuniunganisha ama kunipatia ani pm
 
Nawaza tu je kuna uhusiano wa kazi unayoomba na fani yako? Journalist? Ukifanya usafi maofisini itakusaidia vipi katika carrer yako? Poor NACTE
 
Muacheni afanye kazi anayoitaka,kwani nyie inawahusu nini jamani?
Kazi aombe mwingine,mlie wengine!
Nawaza tu je kuna uhusiano wa kazi unayoomba na fani yako? Journalist? Ukifanya usafi maofisini itakusaidia vipi katika carrer yako? Poor NACTE
 
Duuuh life tight aisee...ila umewaza kwa kina maana naona wadada wazur wafanya usafi hawatumii sana mishahara yao...wanatumwa chai saa nne....ikifika mchana wanaagizwa kuleta lunch....ikifika muda wa kutoka wanakunjaga vishoka kwenye vitz na rav4 za vijana wa makazini ...for that matter umewaza mbali na kufanya maamuzi sahihi.
Ila uwe mzuri kwanza
 
Habar ndg zangu.
Mm ni binti nina umr wa miaka 24 ninaelm ya chuo diploma ya journalism,ninatafta kaz ya kufanya usaf maoficine mwenyekuweza kuniunganisha ama kunipatia ani pm
Diploma?Mbona mwandiko wako kama darasa la 5b?Na kwanini utafute kazi za usafi na sio taaluma uliyosomea?
 
Diploma?Mbona mwandiko wako kama darasa la 5b?Na kwanini utafute kazi za usafi na sio taaluma uliyosomea?
Acha maswali, kama kuna kazi hiyo muunganishie. We hujui maisha ya sasa ni magum mno kuliko ya kipindi cha nyuma,?
 
Diploma ya Journalism alafu unatafuta kazi ya usafi maofisini.. kuna kitu hakipo sawa hapa..

Sema ukweli wako...
 
Diploma ya Journalism alafu unatafuta kazi ya usafi maofisini.. kuna kitu hakipo sawa hapa..

Sema ukweli wako...
UNASHANGAA NINI MIE MBONA NIMESHAWAI KUWA MLINZI SECURITY COMPANY LIMITED NIKAJIMAKE HADI NAFANYA BIASHARA ZANGU MWENYEWE
 
Wwe kwa chet chochote mi nahtaj kupata kaz
Unaweza.kuwa kweli unatafuta kazi lakini.ni.muhimu kuwa mkweli. Kule.umesema umekaa mtaani sana toka 2010 huku unasema umemaliza diploma ya jonalizm huoni.kuwa.hapo unachanganya mambo?
Usikate.tamaa kiasi hicho cha kukufanya ujishushe.au udanganye. Unaweza sema kwakuwa ajira imekuwa.ngumu,nimeweka cheti.changu.cha.diploma.ya jonalizm.kando.na natumia.cha form 4 kutafuta kazi. Hii itasaidia watu kukuelewa na kuona umakini.wako. Sasa sijui ni.hapa au kule kwingine lakini ningekusauri uedit hiyo habari yako ili upate.msaada sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom