Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
- Academici qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
- Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
- Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
- Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi
Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c
HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.
Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.